Kutakuwa na Baraka Lyrics 1 Kutakuwa na baraka, Hiyo ni Neno lake; Kutakuwa na faraja, Bwana hutoa kwake. Baraka nyingi, Baraka twahitaji; Tumepokea kiasi, Bali…
Msalabani pa Mwokozi Lyrics 1 Msalabani pa Mwokozi, Hapo niliomba upozi; Akaniokoa Mpenzi, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Akaniokoa Mpenzi, Mwana wa…
Mungu Mtukufu aliye Bwana Lyrics 1 Mungu Mtukufu aliye Bwana, Akamtoa Yesu Mpendwa Mwana; Akawa dhabihu kwa dhambi zote, Kufungua njia kwa watu wote. Msifuni,…